Tuesday, October 30, 2012

MITUNGI YAWAPONZA NISHA NA BABY MADAHAMASTAA wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ na Baby Joseph ‘Baby Madaha’ juzikati walijikuta wakiingia kujisaidia choo cha kiume bila kujielewa.


Ishu hiyo iliyopigwa chabo na mpekuzi wetu, ilijiri hivi karibuni katika hoteli moja jijini Dar wakati mastaa hao walipokuwa wakimpongeza Flora Mvungi kutokana na kufanyiwa sherehe ya kumtolea mahari.


Pasipo kujielewa baada ya kilevi kufika mahali pake, wauza nyago hao waliovamia gemu la muziki, walijikuta wanazama katika choo cha kiume kwenda kujisaidia haja ndogo (angalia picha hapo chini)


==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!