Friday, October 5, 2012

MWANAMZIKI WA KIMATAIFA RICK ROSSY AMETUA DAR USIKU HUU


 Meneja wa Bia ya Serengeti ambao ndio wadhamini wakuu wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012,Allan Chonjo akisalimiana na Mwanamuziki wa Kimataifa kutoka nchini Marekani Rick Ross mara baada ya kuwasili usiku huu ndani ya uwanija wa ndege wa Kimataifa wa JK  Nyerere,akiwa na baadhi ya wanamuziki wenzake pichani nyuma,kati ni Oparesheni Meneja wa Prime Time Promotions Ltd ambao ndio waratibu wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012 linalotarajiwa kufanyika hapo kesho.
 

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!