Wednesday, October 31, 2012

MZUNGU KICHAA AJIPANGA KUENDESHA SEMINA YA SIKU MBILI KWA WASANII WACHANGA JIJINI NAIROBIMwanamuziki raia wa Denmark mwenye makazi yake nchini Tanzania, Espen Sørensen aka Mzungu Kichaa leo anatarajia kuanza semina ya siku mbili kwa wasanii wachanga jijini Nairobi Kenya.

Semina hiyo itafanyika katika ofisi za Sarakasi Trust.
“The workshop will be steps to success through management, marketing and identity,” yamesema maelezo yake.

Pia Mzungu Kichaa atafanya concert ya bure katika bweni la Sarakasi Ijumaa hii.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!