Wednesday, October 3, 2012

"HUWA NAJISIKIA KINYAA MWANAUME AKIYAANGALIA MAKALIO YANGU"......AMANDASTAA wa filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amefunguka kuwa anakasirishwa na tabia ya baadhi ya wanaume kupenda kumtazama sehemu ya nyuma ya mwili wake akimaanisha makalio.


Akizungumza na Mpekuzi wetu,  Amanda alisema siku zote anakasirishwa na wanaume hao wanaofanya hivyo bila sababu za msingi na kuanika kuwa jambo hilo huwa linamkera kupita maelezo.

Amanda Poshi

“Utakuta mwanaume anatumia nguvu nyingi kukutazama makalio hadi anakukosesha raha.

 Kwa nini asiniangalie na viungo vyangu vingine? Kwa kweli inatia  kinyaa  sana. Kwa taarifa yao wataishia kula kwa macho,” alifunguka Amanda.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!