Saturday, October 6, 2012

"NIVAE NGUO YA NDANI SAIZI YANGU NITAIPATA WAPI?"-----MWASITI MOHAMMEDMwasti Mohammed ni  msanii wa bongo move anayeishi Mbagala jijini Dar......

Anadai  kwamba zamani alikuwa mwembamba sana lakini baada ya kuvunja ungo ghafla alianza kunenepa na haya makalio amerithi kwa shangazi zake .......

Kuhusu kusumbuliwa  na wanaume,Mwasiti anafunguka kama  ifuatavyo:“Usumbufu ni mkubwa sana kwani wanaume wengi wananitokea huku wengine wakinishawishi kwa fedha lakini nina msimamo.”


Mbali na  usumbufu, mwanadada  huyu anafunguka zaidi na  kudai kuwa  anatamani sana  kupungua maana hapendi  kabisa kuwa mnene na mara  nyingi huwa anapenda kuvaa  dira ili kyaficha makalio yake......
 Na kuhusu  saizi  ya   mavazi ya ndani,Mwasiti  anaropoka  kama  ifuatavyo...:
“Nivae nguo ya ndani saizi yangu nitaipata wapi?”
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!