Wednesday, October 3, 2012

PICHA: DIAMOND ALIVYOSHEHELEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA


Siku ya jana ndio ilikuwa Birthday ya rais wa Wasafi, Naseeb Abdul alias Diamond Platnumz na alifanya hafla fupi kwa kusheherekea siku yake ya kuzaliwa akiwa na ndugu na jamaa wa karibu iliyofanyika katika hotel ya DEMAGE kinondoni.
Hizi ni baadhi ya picha katika tukio ilo la sherehe ya kuzaliwa Diamond:
 Wema Sepetu.
Shetta na B-12 nao walikuwepo.
Ommy Dimpoz akiwa na Wema Sepetu na keki ya Birthday.
Ommy Dimpoz, Mboni Masimba na Mecky.
Meneja wa Tip Top Connection,Babu Tale akipiga story na Naj.
Diamond & Mboni Masimba.
Vijana toka Tip Top Connection.
Wema Sepetu akiwa na Mboni Masimba.

VIDEO YA BIRTHDAY YAKE
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!