Tuesday, October 9, 2012

RAYUU AKUMBWA NA SKENDO YA KUPIGA PICHA CHAFU NA KUZIUZA


  Wakati napita  mtandaoni nimekutana  na sakata  la  mrembo mmoja ambaye  sote  tunamjua kwa jina la  Rayuu.......

Kulikuwa na  mjadala mkubwa  kati  yake na wadau  kutokana  na  tabia yake ya kupiga  picha na  kuziuza  katika mahoteli  makubwa........

Maoni ya wadau yanadai kuwa Rayuu  alikuwa  ni mwanafunzi  wa IFM.....Baada  ya kuendekeza  ujinga  chuo kilimshinda.......

Haya  ndo maoni ya  wadau katika  mtandao huo:CHANZO:  UDAKU SPCIAL
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!