Friday, October 5, 2012

RICK ROSS ATHIBITISHA KUWA YUPO NJIANI KUJA BONGO LEO


Masaa kadhaa yaliyopita msanii wa kimataifa toka nchini Marekani Rick Ross ameandika ukurasa wake wa Twiter kwamba yuko njia kuja nchini Tanzania ambapo atatumbuiza kwenye tamasha bora na kubwa kabisa hapa East Africa - Tamasha la Serengeti Fiesta Dar es salaam, siku ya jumamosi.


==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!