Friday, October 5, 2012

RICK ROSS KUTUA BONGO SAA 5 USIKU LEO

William Leonard Roberts II  'Rick Ross'.
MWANAMUZIKI kutoka Marekani, William Leonard Roberts II  'Rick Ross' anataraji kutua nchini leo saa tano usiku tayari kwa shoo yake ya kesho pale viwanja vya Leaders. 

Ross kupitia mtandao wake wa Twitter kuhusu Afrika ameandika hivi “Approved #Dicedpineapples final Video edit on flight to #Africa . Coming soon!! KLM airlines need 1st 48 on they’re tv’s for me. #Africa.”

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!