Thursday, October 4, 2012

ROMA AWACHANA WASANII WENYE MARINGO KWA MASHABIKI WAO


Isome status ya msanii wa Hip Hop Roma mkatoliki kupitia ukurasa wake wa facebook jioni ya leo.


“Me kuna k2 kinanishangazaga xana yani!! Utakuta cc ARTIST...iwe musician au actor/actress...ni kuwa una hitaji xana xapoti ya mashabiki/maraia ili utimize goalz zako!! 
 
Xaxa utakuta artist ana mringia au kumnatia shabiki wake, UNAMSALIMIA ARTIST AF HAKUITIKII ANAKAUSHA ANALETA POZI...AAF ETI BADAE STEJINI ANAKWAMBIA PIGA KELELE AU MIKONO JUU!! Axa yy ni nani kwani hadi tumtii asemacho wakati hana lav na cc? 
 
Tena wakimaliza show utawackia MWANZA NAWAPENDA SANA...axa unampenda nani ww mbona mnafki? Ukishuka ukasalimiwa unaweka pozi!! Me waxanii kama hawa nawapigaga mitama tu mxxxiuu!! 
 
Lakini mbali na hayo, haina maana kuwa ndo umzoee shabiki kwa xana, atakucost pia...jifunze kuishi na shabiki, na mashabiki jifunzeni kuishi na waxanii wenu...lazima kuwe na distance btn, na muwe waelewa kuliishi hilo...mxanii anaweka status af hachangii comentz...dah inakera xana?me najiweka kundi la shabiki xo obviously a wl fil bad! 
 
Bt pia mafunz muelewe kukomentz zote ni ngumu,au xamtym huna muda wa kukoment muda ule bt bdae unawapitia hyo poa xo muelewe!! Ila wapo waxanii wengine mtu page yake ina miezi hajibu ki2....!!bas tuxaidiane apo jamani kuishi vzr ktk hili!!...NIXAMEHENI NA MM PALE NIKOSEAPO”.....ROMA.

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!