Monday, October 8, 2012

"MIMI SI MSAGAJI NA SINA UHUSIANO WOWOTE NA NAY WA MITEGO"....NISHA


Msanii wa  tasnia ya filamu Bongo,anaye julikana kwa jina la SALMA JABU a.k.a NISHA amefunguka zaidi kuhusiana na skendo iliyowahi kumkuta ya kuwa yeye ni msagaji na kusema ni skendo iliyokua inamnyima usingizi kwa kuwa alivyojieleza sivyo ilivyokua kutokana tu na kutokua na upeo wa kujielzea kutokana na uchanga katika sanaa kipindi hicho....

Pamoja na kukataa  kuwa  yeye si msagaji, NISHA  amefunguka na kudai kuwa hana uhusiano wowote na Nay wa Mitego na kuongeza kuwa  hakuna lolote linaloendelea zaidi ya yeye kupenda tu show za ney wa mitego na si vinginevyo

Nisikuchoshe msomaji wangu, msikilize Nisha  akijieleza mwenyewe mbele ya mpekuzi wetu ......Katikati ya interview kuna mziki kidogo, halafu mwishoni interview  inaendelea


==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!