Monday, October 1, 2012

SIMU ZA KICHINA KUZIMWA RASIMI LEO
Je unamiliki simu feki? wakazi wa jiji la Nairobi  pamoja  na  miji mingine Mikubwa  watapigwa  na butwaa ifikapo saa  sita usiku leo pale makampuni ya  simu nchini humo yatakapozima  mawasiliano kwa simu zote ambazo siyo origino na  watu zaidi ya  milioni mbili  wanaotumia simu feki  kukosa  mawasilino.

Zaidi sikiliza  kwenye  video hiyo
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!