Saturday, October 6, 2012

SNOOP DPGG ATOA SABABU ZA KUMPIGIA KURA RAIS BARACK OBAMA NA KUMTEMA MITT ROMNEYSnoop Dogg ameamua kuandika kwenye karatasi sababu za kwanini atampigia kura rais Barack Obama kwenye uchaguzi wa mwezi ujao na kwanini hatompigia kura mpinzani wake Mitt Romney wa chama cha Republican na kupost picha ya kile alichokiandika kwenye mtandao wa Instagram.

Zisome sababu hizo na ukamilishe weekend yako kwa kicheko kirefu.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!