Wednesday, October 3, 2012

TAHADHARI: UMAARUFU WA DIAMOND UTAWAMALIZA WANAWAKE WENGI.....KUWENI MAKINI

SASA HII  NI  KERO........NAONA  PESA ZIMEMFANYA  AWAGEUZE  WANAWAKE  KUWA  NGUO  ZA KUBADILI KILA  SIKU........

BAADA  YA  WEMA SEPETU, JOKATE, LINAH, RECHO, NA NAJMA,  LEO NI  ZAMU  YA  HALIMA.........

KAZI  KWENU DADA ZETU

Diamond Halima 2Diamond halima 3Halima na Kimwana
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!