Sunday, October 21, 2012

TUNDAMAN APATA SHAVU LA KUSIMAMIA KAZI ZOTE ZA CHID BENZKupitia blog yake, muimbaji Khalid Ramadhan Tunda aka Tundaman ametangaza kuwa yeye ndiye msimamizi rasmi wa kazi za rapper Chidi Benzi kwa sasa.

“Kuanzia sasa mimindie nitakua msimamizi wa kazi za msanii Chidi Benz,na nimejipanga kumrudisha chidi kama zamani katika game, na kwa sasa tumegonga ngoma mbili kali sana ambazo zimefanyika AM Rec,kwa mdundo wa Manecky,kaeni tayari kupokea kazi nzuri.”

Unaamini Tundaman anaweza kumrudisha Chidi kwenye game? tupe maoni yako
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!