Tuesday, October 23, 2012

UCHAFU WA DANCE ZA USIKU UNAKERA ......


Wenzao wakiwa busy na kucheza na kuburudika, hawa ndo kwanza walikuwa wanavunja amri ya sita....

Mwanzo  nilikuwa  nikisimuliwa tu kuwa kuna watu hufanya mapenzi hadharani au chooni pindi wawapo kwenye disco na kumbi za usiku......Sasa  nimeamini......

Hakika kuna wanawake wanaroho ngumu. ..
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!