Monday, November 19, 2012

DIARY YA LADY JAYDEE YAPOKELEWA KWA MIKONO MIWILIJana reality TV show ya Judith Mbibo aka Lady Jaydee imeoneshwa kwa mara ya kwanza kupitia kituo cha runinga cha EATV.Kwa mujibu maoni yaliyokusanywa na Bongo5 kwa watu waliokitazama kipindi hicho pamoja na makosa madogo ya hapa na pale wengi wamekisifia na kusema mwanamuziki huyo amejitahidi.

Haya ni miongoni mwa maoni:


Benjamin Liponda: kilikuwa poa san kuanzia grafix crew ya product ila aongez camer ya 2 wanampa tabu san Camera man kutumia Camera 1

Mathew Julius: Iko hot hamna mapungufu halafu unajua mwanzo mgumu lakin kakoma kaweza
Kassim Mawe: Ilikuwa pouwa,mapungufu ni ya kitaalam sana coz hakuna kaz ambyo inakoxa dosari duniani kote

Sechiz L. Sebastian : waz gud,na imefana xna…chamcng kama BENJAMIN alivyosema waongeze camera!

Gideon Stephen: Nilipenda pale mdada alipokuwa anamchukulia mwenzie kipapatio cha kuku na story zilizokuwa zinaendelea pale

Willfred Kitimbo: Mi nimependa avyojitolea kwa jamii yenye matatizo coz waongeze mda nusu xaa haitoshi wafanye lixaa limoja big up binti machozi

Killian Francis: Mapungufu kwa camera man! Naona kuna wakati picture ilikuwa inacheza, haitulii vizuri

Grace Ngopola: Poa sana tu. Na pia nilipenda pale alipo chukua kipapatio cha mwenzie safi sana

Catherine Mwanga: yaani ilikuwa poa sana,sikutegemea kama angeweza kuweka mambo yake wazi
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!