Wednesday, November 21, 2012

GODZILLA APOROMOSHA VIDEO YA “NATAKA”.....KARIBU UICHEKI


King from salasala ambaye pia ni mkali wa freestyle Bongo, Godzilla baada ya kutamba na audio yake ya nataka round hii anakuja kutawala kwenye television yako kwa kuachia kichupa kipya.

Kabla ya kuachia kichupa hiki cha “NatakaKingzillah alikuwa anatamba na video yake kwa jina la “Hard Work Pay“.  Audio ya “Nataka” imetengenezwa na producer Marco Chali huku video ikiwa imesimamiwa na kampuni ya E-Media chini ya Director Nick Dizzo na Sama Jahn.

Kwenye video hiyo utapata kuwaona mastaa wa Bongo flavour kama Marco Chali, Chegge, Madee na wengine wengi.

Check Out video hiyo ya “Nataka” from Kingzillah:
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!