Friday, November 2, 2012

ISIKILIZE 'NATAKA KULEWA' YA H-BABA ALIYODAI KUIBIWA IDEA NA DIAMOND.


H-baba
Huu ni muendelezo wa ile story ambayo imezungumziwa sana siku chache toka wimbo mpya wa Diamond Platnumz uwe released.

 H-Baba ni msanii aliejitokeza kudai kuwa Diamond amemuibia idea pamoja na jina la wimbo wake ambao pia unaitwa 'Nataka Kulewa'. 

H-Baba aliongeza kuwa Diamond aliusikia wimbo wake huo siku alipokuwa anaurekodi G-Records akiwa na Q Chilla aliyeshirikishwa na H-baba katika wimbo huo.

Sasa tulikuwa hatujausikia wimbo wa 'Nataka Kulewa wa H-baba, iskilize demo fupi ya wimbo huo.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!