Saturday, November 17, 2012

KERI HILSON NDANI YA JIJI LA DAR ES SALAAM MWEZI UJAO KWA SHOW BAAB KUBWA...!!!Tanzania mko tayari kumshuhudia hit-maker wa Knock You Down mrembo Keri Hilson? Kama bado basi mashabiki wake anzeni kuuchanga mdogo mdogo sababu the diva is dropping to the land of Kilimanjaro next month!! We ain’t tripping at all sababu Keri amethibitisha mwenyewe jana habari hizi kwenye ukurasa wake wa Twitter:


==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!