Friday, November 30, 2012

MSAKO KALI WA POLISI MKOANI TANGA WAFANIKISHA UPATIKANI WA BAADHI YA VITU VYA SHARO MILIONEA VILIVYOKUWA VIMEIBIWA

 
Watu wasio na  huruma  walishindwa kutoa msaada kwa marehemu sharomilionea katika kumuokoa na kuona ni bora vitu alivyokua navyo wavichukue .....
 
Lakini uchunguzi wa polisi kwa kushirikiaana na wananchi na umeweza kupitisha msako mkali baadhi ya vitu vilivyochukuliwa katika tukio hilo vimepatikana.

AKIONGEA kwa njia ya simu na blog hii, aliekua rafiki wa karibu wa sharo milionea KITALE amevitaja vitu vya marehemu vilivyopatikana ni pamoja na SPEAR TYERE,RADIO YA GARI,BETRI YA GARI,SAA YA MKONONI,na pia kwa masaada ya jeshi la polisi uliweza kusaidia kupatikana kwa simu yake ya mkononi ya SHAROMILIONEA  huku  vitu vingine ikwemo SURUALI AINA YA JINSI NA T-SHIRT YAKE BADO HAVIJAWEZA KUPATIKANA  na polisi  jijini tanga wanaendelea na msako wa kuvikamata vitu vingine vilivyopotea katika eneno la tukio
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!