Monday, November 26, 2012

" MUNGU MBARIKI RAY C NA MAMA YAKE...".....HII NI VIDEO YA UCHUNGU WA LORD EYEZ


Producer P-funk Majani ametoa studio teaser ya Lord Eyez kwa njia ya video, ikimuonesha Mweusi huyo akiwa booth katika studio za Bongo Recordz... ikimaanisha alikuwa katika recording session ya wimbo unaoonekana kuwa ni mpya na unaozungumzia matukio ya hivi karibuni yaliyomhusisha Lord Eyez . 

Hii ni baadhi ya mistari inayosikika kwenye teaser hiyo:

“Mungu mmbariki Ray C mmbariki na mama yake, mtoe kwenye haya majanga mrudishie maisha yake....okay lete habari, Lord Eyez kafanya hivi na hivi uzeni hiyo habari, eeh mungu nibariki niepukane na hii hali, too many fake people, aaah wamecheka aaah naziona dimpoz, nini power windows Napata nikiuza....F***the power window big boy is innocent, naingizwa kwa majanga na sijala hata senti...........”

Itazame hapa Teaser hiyo


Wimbo huu unategemewa kutoka pengine wiki hii.

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!