Thursday, November 22, 2012

"MIMI NA STREO NI BALAAA...." STAMINAKwa wale wapenzi wa Hip Hop nchini hii itakuwa inawahusu kwani collabo kali kutoka kwa wasanii wa Hip Hop zimeendelea kung’ara kwenye anga hizi. Round hii tegemeeni collabo kali kutoka kwa Stamina na mkali Stereo.

Kupitia Facebook Account yake,  Stamina ,ambaye anatumia jina la Stamina Kabwela SuperMario aliweza kupost ujumbe usemao  hivi:

Post hiyo ambayo iliambatana na picha ya Stamina akiwa na Stereo iliwafanya watu waanze kucomment na ndipo moja ya comment kutoka kwa Stamina akijibu comment ya Joseph ilsema “yap kuna ngoma tumefanya ni balaaaaa@joseph”.

Baada ya comment nyingi kutokana  na status hiyo  Stamina ,aliweza kujibu kwa  ujumla  na kusema:“mia mia majenge ngoja tusubiri tuone”.

Hivyo mashabikia wa Hip Hop mkae tayari kupokea collabo kali kutoka kwa The Kabwela hit maker“, Stamina along side Mtamaduni music Stereo kwani inawezekana ikiwa collabo ya kufunga mwaka katika Tzee Hip Hop scene.

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!