Friday, November 16, 2012

NGOMA MPYA YA RIHANNA NA CHRISS BROWN..."NOBODY'S BUSINESS"   

Huu ni wimbo mpya kutoka kwa Rihanna akiwa amemshirikisha boyfriend wake ,Chris Brown.....

Pengine wanachojaribu kusema ni kwamba kama wapo pamoja au hawapo pamoja hayo ni yao na hayatuhusu mimi wala wewe
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!