Monday, November 5, 2012

NURU THE LIGHT ATOA WITO WA KUMSAIDIA "RAY C" KUTOKANA NA HALI ALIYONAYO


Wakati kila mmoja anayemfamu Ray C anaonekana kusikitishwa na hali aliyonayo sasa kutokana na matumizi ya madawa wa kulevya, msanii wa kike aishiye barani Ulaya, Nuru the Light amesema huu si muda wa kunyoosheana vidole bali kumsaidia tu Ray C arudi kwenye hali yake.


Kupitia blog yaKE Nuru ameandika:


"I have worked with people who have been the victims of drugs so I know what she is going through right now. shes not going through it by herself but also the members of her family as well and that is the bad thing about drugs it is the shame that comes with it.

Tanzania as of now hatuna rehab nzuri sidhani ambayo itakayoweza kumsaidia Rehema ila you never know but i do hope with all my body and soul kuwa hatutakiwi kupoint fingers kwa anyone bali tunatakiwa kumsupport na kumsaidia Rehema. 

In life you don’t know what tomorrow holds but we all hope for the best not only within ourselves but also for our loved ones.

This is a disease na narudia tena huu ni ugonjwa kama vile malaria and needs to be treated ili aweze kuendelea kuishi maisha yake maana sasa hivi issue ni kukomboa maisha yake.

I pray for you Rehema and I love you and this is not going to be easy,this will be one of the hardest things you will go through but i know that you can do it,huwa tunasema Mungu hakupi mzigo usioweza kuubeba na huu ni mtihani ila with God and the love of your mother na wengineo you will get through this!!!".......NURU THE LIGHT
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!