Thursday, November 22, 2012

"MIMI SI MTUMIAJI WA MADAWA YA KULEVYA".....LORD EYEZ


 Habari mpya  kutoka kwa Lord Eyez baafa ya kuchonga nasi  kuhusiana na watu kumuhusisha na utumiaji wa Madawa ya kulevya aliweza kufunguka na kuweka wazi kwa  kusema,“Kiukweli mimi sijihusishi kabisa na utumiaji wa madawa ya kulevya na wala si support watu watumie kwani utumiaji wa madawa ni hatari ”- Lord Eyez.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!