Thursday, November 8, 2012

UPDATE: MWILI WA MKE WA MTU UMEGANDANA NA MWANAUME ALIYEFUMANIWA NAYE.....WATU WAMEJAA TEMEKE NA MABOMU YANARUSHWA KILA KONA NA POLISI


Kuna ripoti iliyotolewa na mashuhuda kwamba huko Temeke hospitali Dar es salaam leo kuna mwanamke mke wa mtu ambae amefikishwa hospitalini huku mwili wake ukiwa umegandana na mwanaume aliefumaniwa nae

HIZI  NI  BAADHI  YA  RIPOTI  TOKA  TEMEKE. BOFYA "PLAY" UZISIKILIZE


SHUKRANI KWA KUNDIZIMA LA CLOUDS FM
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!