Thursday, November 22, 2012

VIDEO:RIHANNA ATEMA MVUA YA MATUSI KWA BENDI YAKE


The R&B Diva Rihanna alionesha mashabiki wake kibao waliohudhuria 777 tour huko London kuwa ubora wa kazi kwa ajili ya mashabiki wake ni kitu kikubwa sana na sio bora liende.

RiRi alishindwa kuendelea kuimba hit song ‘where have you been’ kwa sababu alisikia ubovu katika sound iliyokuwa inatoka kwenye vyombo vya band yake aliyoikodi na sauti yake kama ilikuwa imezidi mwangi, aliigeukia band hiyo akaiambia istop halafu akainyeshea mbovu.

“Alright, what the f**k. Stop this sh*t. What the f**k is that? Why is the track off from the band? This is the bullsh*t we deal with when we are just doing a random rock and roll tour with no rehearsal and sh*t."

Baadae akawageukia fans wake na kuwaomba radhi kwa kile kilichotokea na kuwaambia wanaanza upya track hiyo, “I apologize for everyone [live streaming] at home ...We are going to start this one again from the top.” Baada ya hapo ubora wa sound ulikuwa poa na akapiga show kali hadi mwisho.

Hii ilikuwa siku ya sita ya tour ya Rihanna ‘777’ ambayo ilikuwa London, kabla ya show waandishi wa habari waliambatana nae kwenye private jet yake walifanya vituko wakiwa katika vyumba vyao kwa sababu walikuwa disappointed baada ya kuona dalili za kutopata habari za ku-make headline toka kwa RiRi. Inasemekana kuwa mara nyingi Rihanna alikuwa amejificha kwenye chumba maalum ndani ya jet hiyo na alikataa kukutana na waandishi hao wa habari.

Tazama video yenye tukio hilo
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!