Tuesday, November 20, 2012

WANAMITINDO 12 WAINGIA MCHUANO WA ‘UNIQUE MODEL 2012


Jumla ya wanamitindo kumi na mbili wamechaguliwa kuingia katika shindano la kusaka Unique Model of the Year – 2012 ambapo usaili huo ulifanyika katika Hoteli ya Lamada jumapili. Wanamitindo hao ni Elizabeth Petty, Phina Revocatus, Amina Ayoub,Vivian Gilbert, Mwanaidi Mokitu, Elizabeth Boniface, Magreth M safiri, Berther Beson, Jennifer Njabili

Wadau kadhaa wakimpa pongezi mkurugenzi wa shindano Methuselah Magese baada ya kazi nzito ya usaili kumalizika.pembeni ni baadhi ya models wasubiri picha za hapa na pale.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!