Tuesday, November 27, 2012

WASANII WATOA NYIMBO MBILI ZA HUZUNI SANA WAKIMLILIA MSANII SHARO MILIONEA....


DOWNLOAD  WIMBO  HUU WA  MAOMBOLEZO
 

Tunda Man ft. Mirror & Raymond - R.I.P Sharomilioner

Huu ni wimbo ambao kiukweli  umenitoa  machoziHuu  chini ni Wimbo ambao umefanywa na producer monagangstar....

 Waliofanya hii ngoma ni DOGO JANJA,PNC KUTOKA MTANASHATI/.OSTAZ JUMA NAMUSOMA) ,STAMINA,COUNTRY BOY MTU CHEE,NAY WA MITEGO,SAPRANO,SUMA MNAZALETI,ELLY NIZO,BRIGHT,MAKOMANDO WAZEE WA KIBEGA,N,K

DOWNLOAD WIMBO HUU.NI  WIMBO WA  MAOMBOLEZO
*
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!