Thursday, November 22, 2012

"TUZO ZA RFA ZIMENIPA JINA KIMATAIFA"......LAMECK DITTOHabari mpya kutoka kwa msanii huyu baada ya kushiriki tuzo za RFA, siku ya leo aliweza kuchonga namwandishi  na akafunguka na kusema tuzo hizi zimemfanya ajulikane kimataifa kwani alijikuta akipigiwa simu tofauti na watu mbalimbali kuhusiana na ngoma yake inayojulikana kwa jina la Niamini.

“Pia nilikuwa napata simu nyingi huku wengine wakiomba nifanye nao kazi, kupitia tuzo hizo kwa namna moja au nyingine naanza kuona mafanikio yanakuja na siku za usoni nitaweza kuipeperusha bendera ya Tzee kimataifa kupitia muziki wangu”- added Ditto.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!