Friday, December 21, 2012

BREAKING NEWZZ!!....GODBLESS LEMA ASHINDA RUFAA YAKE YA UBUNGE.HIVI SASA NI MBUNGE HALALIHabari zilizotufikia hapa mtandaoni kutoka kwa mtu wetu aliyepo mahakamani ni kwamba Mbunge wa Arusha mjini Godbless lema ameshinda rufaa yake ya ubunge.

Rufaa hiyo ilikuwa inasikilizwa mahakama kuu ya rufaa jijini Dar es salaam.Kwa maaana hiyo ni kwamba lema kwa sasa atakuwa mbunge halali wa arusha mjini.

Ikumbukwe lema alisimamishwa ubunge wake kupitia kesi iliyofunguliwa kwamba wakati wa kampeni zake alitoa lugha isisiyotakiwa kwa mgombea wa ccm.

HABARI  ZAIDI ZINAKUJA......
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!