Saturday, December 8, 2012

DILI LA AUNTY EZEKIEL NA ISIDINGO LIMEOTA MANYOYA......

 
Aunty Ezekiel ambaye ni MKE WA MTU and former Miss Tanzania (Mshiriki) ,hivi karibuni alifunguka kwamba amepata deal la kwenda kupiga some scenes kwenye tamthilia ya “Isidingo the Need”. huko Afrika ya Kusini

Mwaka mzima umekatika na hatujaona sura yake kwenye tamthilia ambayo inakuwa hewani kupitia ITV. Katika  mazungumzo ya nyuma  na mpekuzi wetu, Aunty alifunguka na kusema

“Nashindwa cha kusema chochote lakini nafurahi kuwa wameangalia kazi zangu na kuzikubali na kunipa hii nafasi. Nategemea kumalizia mazungumzo na mambo kukamilika hivi karibuni. Watanzania wenzangu , support inahitajika kwa mtanzania yoyote anayefanya kitu kizuri kwa ajili ya nchi, so am sure nitaiwakilisha vizuri sanaa ya Tanzania na Nchi kwa ujumla”

Mpekuzi wetu alipojaribu kumtafuta Aunty Ezekiel kwa majibu kuhusu  hii issue, mke wa mtu alionekana kuwa busy sana. May be alikuwa kwenye harakati zake na mambo ya kuanza pharse two maisha ya ndoa after kunjika ya kwanza na Jack Pemba.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!