Friday, December 28, 2012

HAYA NDO MADHARA YA KUTAFUTA UTAJIRI KWA WAGANGA WA KIENYEJI......YALIYOMKUTA HUYU MZEE HATA KAA ASAHAU


 Bora  kufa  masikitini  kuliko  kichapo  cha  namna  hii alafu mwisho wa siku  huambulii lolote...

Waganga  wetu ni waongo.....Anakwambia  uwe  tajiri wakati  yeye  hata  nyumba  hana......

Anakwambia  atamrudisha mpenzi  wako  aliyekimbia  wakati  yeye  hata  mke  hana.......

POLE  MZEE...JARIBU NA MSAADA  WA MAOMBI  MAANA KWA  MUNGU HAKUNA  MAKOFI
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!