Friday, December 14, 2012

HEMEDY PHP AKIRI KULIZIMIKIA TOTO LA KI NIGERIA.....Msanii wa ‘Going Crazy’ Hemedy Suleiman aka PHD amekiri kupitia mtandao wa Twitter kuwa anamzimia mwanamuziki wa Nigeria, Tiwa Savage.

Kupitia Twitter Hemedy ameandika, “IN LOVE WITH TIWA SAVAGE……Daaaah.”

Hata hivyo Hemedy inabidi aendelee tu kuumia sababu Tiwa Savage anafly kwenye matawi mengine kabisa.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!