Friday, December 21, 2012

HII NDO VIDEO YA UNYAMA UNAOTENDEKA HUKO SOMALIA.....TUMUOMBE MUNGU ATUEPUSHE NA UNYAMA HUU

Mpaka sasa  nimeshindwa niandike nini juu ya habari  hii mana NIMESHINDWA KUIMALIZIA  HII  VIDEO......

Ni vigumu sana kuushuhudia unyama  na ukatili  kama huu ukitendwa  mbele ya binadamu mwenzako.....

Tanzania ni miongoni  mwa  nchi zilizobarikiwa  na kujaliwa  AMANI...Ni  vema  tukaitunza  AMANI  hii  maana  vitu  si kitu  cha  kitoto......

Watu ambao huathirika  na kuumia ni sisi watu  wa  chini  ambao hatuna kitu.

MUNGU  IBARIKI TANZANIA... 

==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!