Thursday, December 27, 2012

KESHO NI UJIO WA NGOMA MPYA YA ROMA MKATOLIKI IITWAYO "2030"Baada ya kukaa kimya kwa zaidi ya mwaka bila kutoa ngoma mpya, hatimaye rapper Roma anatarajia kutoa ngoma yake mpya kesho Ijumaa.


Ngoma hiyo inaitwa 2030 na kama kawaida yake amezungumza masuala mengi pamoja na kutaja majina ya watu wengi maarufu kwa kuoanisha na matukio. 

Hit ya mwisho aliyoitoa Roma ni Mathematics.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!