Saturday, December 29, 2012

MABINTI WA VIDEO YA TYGA WAMSHITAKI KWA KUZIANIKA CHUCHU ZAO KINYUME NA MAKUBALIANO


tyga-lawsuit
Warembo watatu wanaonekana kwenye video ya ngoma ya Tyga’s “Make it Nsty” wanadai ‘chuchu’ zao zimeonekana bila ruhusa yao.

Alissa Rae Ross, Azia Davis, na Elizabeth Velasquez wamefungua mashtaka kwa kudai kuwa walipofanya usaili kwaajili ya video hiyo kulikuwa na kipengele kisemacho “There will be NO ndity involved in the video, and all the girls will be tastefully shot.”


Kwa mujibu wa madai yao Velasquez, Davis na Ross waliombwa wakati wa kushoot video hiyo July 2, kutokea wakiwa vifua wazi katika baadhi ya scenes lakini walihakikishiwa kuwa ‘chuchu’ zao zingefunikwa ama kufanyiwa editing.

Katika mkataba wao wasichana hao wanadai kuambiwa kuwa “drty” version ya video hiyo isingetoka lakini ikatoka. 

Wasichana hao wanashtaki kwa kukiuka mkataba, kuingiliwa usiri wao na madai mengine.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!