Friday, December 21, 2012

MAKALIO YA WENZETU HAYANA THAMANI...HII NI PICHA YA RIHANAA ALIYOI POST INTAGRAM


Haya  si  mambo  ya kuiga  hata kidogo.Nawashangaa  sana wasanii  wetu  kuiga vitu  kama hivi.....

Ninachoamini mimi ni kwamba makalio  ya wenzetu  hayana  thamani yoyote.......Hii  ni  tofauti  kabisa  kwa upande  wa  tanzania......

Hawa ni  baadhi  ya wasanii  wetu  wenye  kuiga  mambo  machafu
 AUNT  EZEKIEL......

 WEMA SEPETU......


HII NI PICHA  YA  DIAMOND  ORIGINAL AMBAYO ILITOLEWA  KATIKA MAGAZETI
 HII NI  PICHA YAKE  ILIYO EDITIWA  NA  WATU NA  KSAMBAZWA FACEBOOK

 
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!