Thursday, December 6, 2012

MBUNGE WA MBEYA MJINI AJA NA NGOMA MPYA “HAKUNA MATATA”Msanii wa Hip Hop nchini na pia ni mbunge wa Mbeya mjini kupitia chama cha Chadema JOSEPH MBILINYI alias Sugu,  ameachia rasmi ngoma yake mpya kwa wewe shabiki wake na jina la ngoma hiyo inafahamika kama “Hakuna matata”...... 

Icheki hapo chini
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!