Saturday, December 22, 2012

MSICHANA WA MIAKA 6 AMWAGIWA MAJI YA MOTO SEHEMU ZAKE ZA SIRI

Mama mmoja mwenye umri wa miaka 26   ameusikitisha umma wa watu pale alipommwagia maji ya moto mtoto wake wa kike........

Mwanamama huyo bado anashikiliwa na POLISI kwaajili ya maelezo zaidi na wanaharakati wa kutetea haki za watoto wameonekana kulivalia njuga swala hili kwa kutangaza kumfungulia kesi mwanamama huyo.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!