Thursday, December 6, 2012

NDOTO ZA MAKAMUA ZAGONGA MWAMBALatest info kutoka kwa MAKAMUA ni kwamba leo baada ya kuchonga nasi aliweza kufunguka na kusema alikuwa na ndoto za kufungua band yake pamoja na studio.

Lakini kwa sasa haitowezekana kwa sababu alikuwa anaanda project zake binafsi za muziki ......

Makamua   alimalizia kwa kusema kwamba mwakani ndiyo ataanza rasmi kupanga mikakati yake ya kufunguka band pamoja na studio yake.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!