Monday, December 10, 2012

PICHA ZA UTUPU ZA CIARA ZASAMBAA....INASEMEKANA ZILIKUWA NI ZAWADI KWA 50 CENT


‘Like a boy singer’ Ciara amekuwa top story kwenye mitandao mbalimbali hivi karibuni, baada ya picha zinazomuonesha akiwa mtupu kama alivyozaliwa kabla hajazigusa pamba kusambaa mtandaoni.
 Inasemekana kuwa Ciara alipiga picha hizo yeye binafsi na ilikuwa ni zawadi ya birthday kwa ex-boyfriend wake 50 Cent mwezi July.

Katika picha hizo ambazo zilioneshwa na MediaTakeOut, Ciara anaonekana kachorwa aina ya nguo ya ndani kwa mapambo kuficha sehemu ya mwili wake. Inaonekana ilifanyika kitaaluma na imeripotiwa kuwa picha hizo zilichukuliwa behind the scene katika photo shoot binafsi.Japokuwa rumours hizo zinasema kuwa Ciara alipiga picha hizo kama zawadi kwa 50 Cent katika siku yake ya kuzaliwa, vyanzo vingine vinasema picha hizo zinaonekana kuwa zilichukuliwa miaka mitano iliyopita.

Hata hivyo Mrembo Ciara bado hajasema lolote
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!