Friday, December 28, 2012

SHOW YA D KNOB YAKUMBWA NA FUJO KUBWA ILIYOUA MTU MMOJARapper aliyewahi kuhit na ngoma kibao ukiwemo ‘Sauti za Gharama’ D-Knob amesema katika show yake aliyoifanya siku ya Christmas palitokea fujo kubwa kiasi cha kudaiwa kusababisha kifo cha mtu mmoja.


Kupitia Facebook, D-Knob ameandika:
Juzi 25, december was having a show Ukumbi wa NJombe Green Park Kinyerezi huko. Response ilikuwa poa ila mwisho likatokea bonge moja la fujo. 

Nashukuru mungu niliondoka salama but jana nimepewa habari kuwa kuna mtu alipoteza maisha na wengi kuumia, na kiukweli inanisikitisha.

Pole kwa waliofiwa na walioumia. My heart is with u all. Real sorry 4 what happened.Fujo Miyeyusho
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!