Tuesday, December 18, 2012

SIZE 8 AONGOZA KWA KULIPWA FEDHA NYINGI ZAIDI AFRIKA MASHARIKI.....


SIZE 8 (4) (600x359)
Website mbalimbali za nchini Kenya zimeandika kuwa Size 8 ndiye msanii wa kike wa Afrika Mashariki anayelipwa pesa nyingi zaidi.

Zimeandika kuwa kwa mujibu wa survey iliyofanywa hivi karibuni imebainika kuwa Size 8 ndiye msanii wa Afrika Mashariki anayepokea dau kubwa zaidi kwa show anazofanya na pia anatafutwa mno kwaajili ya kufanya shows.

Pamoja na show zingine, Size 8 amejipatia fedha nyingi kutoka kwenye kampeni za Niko Na Safaricom, Club 254 ya Airtel na Coca Cola.


==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!