Wednesday, December 26, 2012

VANESSA MDEE AINGIZWA MKENGE.......BLACKBERRY YAKE YABEBWA



Pamoja na kupiga show ya nguvu jana kwenye uwanja wa taifa wa burudani, Dar Live uliopo maeneo ya Mbagala, Dar es Salaam, Vanessa Mdee aliondoka na huzuni baada ya wajanja ‘kumchapa’ blackberry yake.
Kupitia Twitter, Vanessa ameandika:ommy 2
Pamoja na hivyo show yao pamoja na Diamond ilifana sana huku Vanessa akimshukuru Ommy kwa kumwamini na kuamua kumshirikisha kwenye wimbo wake ‘Me and You’ unaohit kwa sasa.

“S/O to Ommy Dimpoz for believing in me enough to let me sing on his record. Tell my momma smgonja beat me,” alitweet Vanessa.
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!