Saturday, December 15, 2012

VIDEO YA WANAFUNZI WANNE WALIOPIGWA NA KUCHOMWA MOTO NA WANAKIJIJI KWA TUHUMA ZA WIZI WA SIMU


Huu  ni unyama uliotendwa na  wanakijiji kwa  wanafunzi wanne  wa chuo kikuu  cha UNIPORT  kwa tuhuma  za  wizi wa simu ......

Wanafunzi hao walifikia  hitimisho la maisha  ya  hapa duniani  baada  ya kupewa  kichapo kikali na  kisha kuchomwa moto.........

Mwenyezi mungu  awapumzishekwa amani......
 
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!