Saturday, December 22, 2012

VIDEO:DUME ZIMA LAPIGWA NA MALAYA BAADA YA KUSHINDWA KULIPA DENI


KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida  kijana mmoja alijikuta akichezea kipigo kutoka kwa malaya aliye lalanae kwa kosa la kutolipa fedha baada ya kuhudumiwa usiku mzima huko  nchini kenya....

 Malaya huyo Alisema kilicho muumiza mpaka kupelekea kumpiga kijana huyo ni kwasababu kijana huyo alipewa stahili zote alizo hitaji wakati wakifanya mapenzi halafu mwisho wa siku kijana huyo akazingua kulipia huduma aliyopewa .
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!