Friday, December 14, 2012

"MAKALIO YANGU HUNIFANYA NISIVAE NGUO ZA NDANI"......SNURA MUSHI


 snura mushi.....
Huyu naye ni msanii wa flam aliyeamua  kuyanadi makalio  yake  katika  mitandao  mbali mbali.......Siku  hizi imekuwa  fashen.....Kibaya  chajiuza....!!! 
 ---------------------------------------------------

>>>“Tangu nikiwa mtoto nilikuwa na makalio na haya nimerithi kwa bibi yangu kwani alikuwa mnene sana.” 


>>>“Usumbufu ni mkubwa sana kutoka kwa wanaume, baadhi yao ukipita wanakuomba namba za simu.”


>>>“Natamani kupungua kidogo juu lakini siyo makalio kwa sababu hili ni pambo kwenye kazi yangu ya muziki.”

  >>>“Huwa napenda kuvaa magauni marefu kwa sababu huwa najiona ninapendeza, shepu yangu inaonekana vizuri na nimejisitiri pia.”

>>>“Sijui saizi kwa sababu huwa sivai nguo  za  ndani.”
 
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!