Tuesday, January 8, 2013

CHADEMA WATAKA UMRI WA RAIS UWE MIAKA 18


Haya ni maoni ya CHADEMA yaliyo tolewa mbele ya tume ya mabadiliko ya katiba,kuwa umri wa kugombea kiti cha Urais uwe miaka 18.......

Jambo  hilo  wamelijadili  kwa kina ndani ya gazeti hili..... watanzania  wenzetu  tuna mtazamo  gani juu  ya hili ....?
==
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Ubuyu Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Tupe Maoni Yako, Matusi Hapana!